Posted by Williammalecela.com on Wednesday, November 12, 2014
Mjumbe
wa Kamati kuu ya CCM Jerry Silaa ambaye ni Mlezi wa mkoa wa simiyu leo
katika siku ya sita amekagua utekelezaji wa ahadi ya Mhe Rais Dr.Jakaya
Kikwete ya ujenzi wa barabara za lami kilometa 3 kwenye mji wa Mwanhuzi
makao makuu ya Wilaya ya Meatu. Kazi imefanyika kwa 40% na itakamilika
mwezi wa tatu mwakani.
|
|
0 comments:
Post a Comment