Katika tukio hilo lililotokea hivi karibuni, dereva huyo wa bodaboda akiwa anatokea upande wa Kwamtogole kuelekea Magomeni-Makanya, alipokaribia kona ya kuelekea Magomeni-Kagera ndipo akamvaa mwanamke huyo aliyekuwa akijipitia zake na kumfanya apoteze fahamu kwa
dakika kadhaa.DEREVA wa bodaboda aliyefahamika kwa jina moja la Fikiri, nusura amuue mrembo mmoja mkazi wa Tandale-Kwatumbo, jijini Dar baada ya kumparamia na bodaboda kando ya barabara.
dakika kadhaa.DEREVA wa bodaboda aliyefahamika kwa jina moja la Fikiri, nusura amuue mrembo mmoja mkazi wa Tandale-Kwatumbo, jijini Dar baada ya kumparamia na bodaboda kando ya barabara.
0 comments:
Post a Comment