Thursday, November 6, 2014


Msanii wa siku nyingi kwenye uigizaji hapa Tzee, Salome aka Mama Abdull , aliyewahi kuigiza katika michezo ya luninga kama ‘Mambo Hayo’ na hivi sasa amecheza Muvi ya ‘Kigodoro’ . Mama Abdull akipiga story na BK kuwa toka miaka hiyo aliyokuwa anaigiza katika michezo ya TV, hawezi kuacha kuigiza hata kama umri unaenda.


” Yani Sanaa ipo katika damu na ninapenda sana kuigiza hata kama nikija kuzeeka sana sitiacha kuigiza nitaendelea kuigiza maisha yangu yote bado naendeleza kazi yangu na kipaji changu yote ”. alisema Mama Abdul

0 comments:

Post a Comment