Sunday, November 23, 2014

Huyu ni msichana ambaye alikutwa katika uchocholo wa club za bar usiku kati ya galax majira ya asubuhi saa 12 akiwa hajitabuhi 
Baadhi ya wanachi wakijaribu kumuongalia bint huyo akiwa ana fahamu  huku akiwa katika kichocholo huku nguo zake zikiwa zimechanwa na watu wasifamika mjini kahama. 

Askari  polisi wa kituo cha polis kahama thomas munyongo akijaribu kumtabua msichana huyo  na bila mafanikio na kuomba msanda katika kituo cha polisi .SOMA ZAIDI>>>>

0 comments:

Post a Comment