Prizenta asiyekaukiwa matukio wa Kituo cha Redio Times FM cha Jijini Dar, Khadija Shaibu ‘Dida’.Tukio hilo lililoibua gumzo lilijiri wikiendi iliyopita kwenye shughuli ya ya kuzaliwa (birthday) ya shosti wake ambaye ni mtangazaji wa Kipindi cha Mcharuko wa Pwani kupitia Kituo cha Redio Planet FM cha mkoani hapa, Warda Makongwa.>>>
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment