Saturday, November 15, 2014
PENZI LA DK CHENI HATARI SANA, LAMLIZA MSANII HUYU WA KIKE BONGO MUVI!
Posted by Williammalecela.com on Saturday, November 15, 2014
Msanii wa Bongo Movies, Fatuma Ayubu ‘Bozi’. Akipiga stori na paparazi wetu, Bozi alisema kuwa, miaka mingi iliyopita, akiwa ametoka kuchezwa unyago, mkongwe huyo wa sanaa ya maigizo alitinga nyumbani kwao kwa lengo la kumuoa na kukubaliana na wazazi wake, akamletea pozi.
MSANII wa Bongo Movies, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ amesema anajutia kitendo chake cha kumtolea nje staa wa filamu Bongo, Mahsein Awadhi ‘Dk. Cheni’ pale alipotangaza nia ya kutaka kumposa na kujiona bado mdogo.
Staa wa filamu Bongo, Mahsein Awadhi ‘Dk. Cheni’. “Dah! Sa hizi ningekuwa nimetulia kwenye ndoa yangu na Dk. Cheni sababu wazazi walikubali, sasa maringo yangu yameniponza,” alisema Bozi.Alipotafutwa Dk. Cheni kuhusiana na ishu hiyo, alikiri kumfahamu Bozi kama msanii lakini hakumbuki kama aliwahi kumtaka.
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Newer Post
Older Post
Home
0 comments:
Post a Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
TOTAL PAGEVIEWS
Popular Posts
LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
0 comments:
Post a Comment