Saturday, November 15, 2014

 

Binti mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Bilaila, hivi karibuni alijikuta akipata kipigo kikali kutoka kwa mama mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja kwa madai kwamba, amekuwa na tabia ya kupora mabwana wa watu.
Tukio hilo la aina yake lilitokea hivi karibuni katika maeneo ya Manzese Uwanja wa fisi jijini Dar es Salaam na kushuhudiwa na umati wa watu.
Awali wawili hao walisikika wakirushiana maneno makali huku Bilaila akituhumiwa kupora waume  .

0 comments:

Post a Comment