Sunday, November 2, 2014

watafiti wa mambo wanakwambia phd ambayo atatunukiwa diamond siku si nyingi zijazo ni ujanja ujanja wa msanii huyo. chanzo kimedai kuwa msanii huyo baada ya kusikia mwenzake wa kundi la weusi aitwaye nicki wa pili
ametangaza kusomea phd siku chache zijazo. na kuonekana kuwa atakua ndiye msanii wa kwanza kuwa DR. kwa bongo. 

diamond ameamua kufanya magumashi ambayo kwa bongo hakuna

0 comments:

Post a Comment