LEMUTUZ

Saturday, November 1, 2014

SAKATA LA UMRI WA MISS TANZANIA LACHUKUA SURA MPYA!

Posted by Williammalecela.com on Saturday, November 01, 2014
Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu.BAADA ya serikali kutoa siku saba za uchunguzi wa sakata la umri wa Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu, maamuzi ya uchunguzi huo yameendelea kuwa katika hali ya sintofahamu baada ya kila upande kuonekana kutokuwa tayari kuweka wazi juu ya kinachoendelea. Wiki iliyopita, Naibu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia, alisema kuwa wametoa siku saba kwa
Baraza la Sanaa Tanzania (Basata) kufanya uchunguzi juu ya suala hilo lakini mpaka jana hakuna ripoti iliyokuwa imetolewa. 
Championi Ijumaa lilizungumza na Ofisa Habari wa Basata, Aristides Kwizela ambapo alisema uchunguzi wa suala hilo bado haujakamilika.“Ni kweli siku saba zimepita lakini bado uchunguzi haujakamilika, hatuwezi kusema utakamilika lini ila ufafanuzi utatolewa tu,” alisema Kwizela. 
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

TOTAL PAGEVIEWS

Popular Posts

  • LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
  • BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
  • THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
  • IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
  • PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
Copyright © LEMUTUZ

Developed by MKCT