Monday, November 10, 2014

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji akizungumza na waandishi wa habari hii leo. Kulia ni Mbunge mwenzake wa EALA kutoka Tanzania, Twaha Isa Tasilima.
Shy-Rose Bhanji akionesha moja ya picha za makamishna waliodai kujiuzulu nyadhifa zao lakini bado walikuwa wakiongoza kamati zao. Picha kwa hisani ya Father Kidevu

0 comments:

Post a Comment