Monday, November 17, 2014
UNDANI WA ASKOFU ALIYEJITANGAZA KIFO, AKAFA KWELI
Posted by Williammalecela.com on Monday, November 17, 2014
Askofu, Elia Munuo almaarufu kwa jina la Adam wa Pili, Mungu wa Majeshi. Kwa mujibu wa mashuhuda ambao ni viongozi na baadhi ya waumini wa kanisa hilo, tukio hilo lilijiri Alhamisi iliyopita ambapo askofu huyo aliwaita makuhani (Viongozi) kutoka sehemu mbalimbali ndani na nje ya Bongo na kuwaambia mambo manne muhimu.
MSHTUKO! Kifo cha Askofu na Nabii wa Kanisa la The Pool of Siloam lililopo Mbezi-Makonde, Kinondoni, Dar es Salaam, Elia Munuo almaarufu kwa jina la Adam wa Pili, Mungu wa Majeshi, kimeacha ‘sintofahamu’ kwa kuwa kiongozi huyo alitabiri na kutangaza tukio hilo na likawa kweli, Ijumaa Wikienda limechimba undani wa tukio hilo.
Mmoja wa waumini wa kanisa la The Pool of Siloam akiwa getini. Mambo hayo ni pamoja na wosia wake ukiwa na kauli yake ya kusindikiza safari yake ya mwisho kwa kuwa alikiona kifo chake kuwa kingejiri mchana wa siku hiyo na kuwataarifu huku akiwa mzima wa afya.
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Newer Post
Older Post
Home
0 comments:
Post a Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
TOTAL PAGEVIEWS
Popular Posts
LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
0 comments:
Post a Comment