Tuesday, November 4, 2014


makonda vs wariobaFredy Azzah na Shabani Matutu, Dar es Salaam

MDAHALO wa kujadili Katiba inayopendekezwa ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere, jana ulivunjika baada ya kutokea vurugu ambako Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, alipigwa vibao shingoni.
 sauti yam zee warioba inasikika ikisema;


“..comred si kweli kuwa makonda amenipiga hapana in deed,,kijana Yule ametusaidia kuhakikisha tunatoka salama pale ndani maana niliona ata vijana wameanza kumshambuliwa Yule mbunge wakatiba ambae ni mlemavu wa macho,halikuwa jambo jema kabisa…Ssa nitazungumza jambo hili lakini mimi nipo salama na tunampongeza makonda kwa moyo wake wakumuokoa kijana mlemavu na kwa hilo wasimsingizie labda wamsingizie hili la kuwa anawajua vijana wale…”

Baada ya mazungumzo yakitambo kwa njia ya simu kati ya Mzee Kingunge na Mzee Warioba,mzee kingunge aliwaambia vijana akiwapo mtoataarifa hizi kuwa  “vijana lazima mjenge hali ya kusikilizana”

0 comments:

Post a Comment