LEMUTUZ

Wednesday, November 5, 2014

WEMA SEPETU AKEREKA, AFUNGUKA MAZITO KUHUSU KAULI ZA KUZAA!

Posted by Williammalecela.com on Wednesday, November 05, 2014
Kauli za ‘Wema utazaa lini’ zimemharibia siku Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu. Zimemchosha kiasi kwamba Leo ameamua kuwatolea uvivu vinara wa kauli hizo and this time madame is very very angry!!
Akipost picha ya mbwa wake anayemtaja kuwa ndio mwanae kwenye Instagram,
Wema ameandika:Okay… Lets get things straight here…. See dat doggie up there… Y’all see her….? Dat is my bebi…. since i dont have a bebi… Huyo ndo mtoto wng… Basi sasa nitapopost afu nisikie kuzaa nakublock fasta>>>>
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

TOTAL PAGEVIEWS

Popular Posts

  • LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
  • BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
  • THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
  • IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
  • PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
Copyright © LEMUTUZ

Developed by MKCT