LEMUTUZ

Monday, November 17, 2014

WOLPER AWABWATUKIA WANAOMSEMA

Posted by Williammalecela.com on Monday, November 17, 2014
Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper.
STAA wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper amewabwatukia baadhi ya watu wanaomsema kuwa kafulia na kudai hawajitambui na wanapenda kuzungumza vitu ambavyo hawana uhakika navyo.
Akizungumza na mwandishi wetu, Wolper alisema anashangazwa na watu ambao wanaojifanya ni watabiri wa maisha yake wakati hakuna hata mmoja ambaye anajua ni wapi alipotokea,
wanamzushia na kumuandika mitandaoni.
“Jamani kuna watu ambao wanajifanya ni watabiri katika maisha ya watu na ni vyema kila mtu akafuata mambo yake  na kuangalia zaidi vya kwao na siyo kunifuatilia leo nimefulia au leo niko sawa, wanaboa sana,” alisema Wolper pasipo kuwataja majina.
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

TOTAL PAGEVIEWS

Popular Posts

Copyright © LEMUTUZ

Developed by MKCT