Saturday, December 6, 2014


Mastaa kutoka tasnia ya uigizaji Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’, Lucas Mhuvile ‘Joti’, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’, Isaya Mwakilasa ‘Wakuvwanga’, Alex Chalamila ‘Mac Regan’, Sekioni David ‘Seki’ na abiria kibao wamenusurika kufa katika ajali ya ndege. 

Abiria wakiingia ndani ya ndege. Kwa mujibu wa shuhuda wetu ndani ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, tukio hilo lilijiri asubuhi ya Alhamisi iliyopita uwanjani ambapo ndege waliyopanda ya Shirika la Ndege la Fastjet aina ya FN 141 Airbus ilipata hitilafu kwenye injini ya kushoto ilipokuwa ikiruka. SOMA ZAIDI>>>

0 comments:

Post a Comment