Wednesday, December 10, 2014

Baada ya idris kushinda ule mtonyo katika mashindano ya bba kule kwamadiba davido akatoa kauli kwamba ‘they cheat again’ kwaupande wake Diamond ilimuuma sana hiyo kauli na kuhisi kwamba hata kwenye tuzo za Channel O pia inaonekana walicheat pia 
usiku huo huo wajana Diamond alitajwa kuwa mshindi wa Future Awars ndipo Diamond alipoamua kuupload ile picha ya tuzo nakuandika haya SOMA ZAIDI>>>

0 comments:

Post a Comment