Msanii Diamond Platinumz amepost picha hii hapa chini mtandaoni muda mfupi uliopita akiambatanisha ujumbe wa kuwatakia heri wakenya katika maadhimisho ya siku ya uhuru wa nchi hiyo! 
Happy Independence KENYA...am so so Happy kupata nafasi ya kusheherekea siku hii kubwa nikiwa nanyi ndani ya Kenya... Make sure you Don't Miss Falmingo Beach and Resort tonight...so that we Can Turn it Up Together.... Ni CheCheE!!!!
0 comments:
Post a Comment