Sunday, December 21, 2014

Leo tarehe 18/12/2014 mtu mmoja amekutwa kando kando ya mto wa Ilolo uliopo jijini Mbeya akiwa amepoteza maisha kutokana na watu wasiojulikana na kumtelekeza kando kando ya mto,mpaka sasa hajatambulika ni nani na ni mkazi wa wapi.
 Wananchi wakiwa eneo la tukio


 Baadhi ya wakazi wa eneo hilo wakidhadhiana juu ya tukio hilo,la mauaji lililo tokea mtaa huo.


Picha na Fadhiri Atick mr pengo globu ya jamii Mbeya

0 comments:

Post a Comment