LEMUTUZ

Friday, December 26, 2014

ASKARI WANUSURIKA KUUWAWA KWA KUPIGWA BOMU, BOMU LAMUUA MLIPUAJI

Posted by Williammalecela.com on Friday, December 26, 2014

Kutoka SONGEA, askari waliokua doria katika mkesha wa x mass wamenusurika kufa baada ya mtu mmoja kujaribu kulipua bomu maeneo ya MAJENGO na hatimae kumlipukia na kufa papo hapo kabla ya kulirusha.

Wenzake walijitahidi kuutorosha mwili wake lakini POLISI wamefanikiwa kuudhibiti....mlioko huo.
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

TOTAL PAGEVIEWS

Popular Posts

  • LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
  • BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
  • THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
  • IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
  • PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
Copyright © LEMUTUZ

Developed by MKCT