Saturday, December 13, 2014

Mastaa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel na JB.NENO! Siku chache baada ya kuripotiwa kuwa ni mjamzito, staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel ameibuka na kufunguka kuwa, aachwe azae kwani umri unazidi kuyoyoma.

Akizungumza na mwanahabari wetu, Aunt alisema watu wamekuwa wakizungumza sana kuhusu ujauzito wake lakini kikubwa ni kwamba
ameupata akiwa na umri sahihi na wala siyo chini ya miaka 18.“Najua watu wengi wanazungumza kuhusu mimi na ujauzito wangu lakini mimi sijaona tatizo na tena siko chini ya umri wa miaka 18 sijui kama kuna tatizo lolote nikipata mtoto na hivyo kama mimba ipo watu wasubiri,” alisema Aunt ambaye amekuwa mzito kuanika umri wake hadharani. SOMA ZAIDI>>>

0 comments:

Post a Comment