Agness Masogange na Mwanadada Mkenya
Corazon Wote wamejaliwa maombo mazuri yenye kuwafanya wanaume wa run
mad, Hawa walianza kusifiana Kupitia Instagram huku wakiwa hawajakutana
vile vile Corazon akiweka picha Masogange ata comment kuisifu , Wawili
Hao hatimae wameonana South Afrika na Kula Bata Pamoja…..Kwa unavyoona


0 comments:
Post a Comment