LEMUTUZ

Monday, December 1, 2014

BAADA YA KUWEKA HISTORIA AFRIKA KUSINI, DIAMOND KUPIGA SHOO MAREKANI

Posted by Williammalecela.com on Monday, December 01, 2014
STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' anataraji kufanya shoo ya nguvu Jumamosi ijayo ya Desemba 6, mwaka huu nchini Marekani.Diamond ambaye juzi usiku alikomba tuzo tatu za Channel O ambazo ni Most Gifted New Comer,Most Gifted Afropop na Most Gifted East
kupitia wimbo wake wa Number One anataraji kupiga shoo jijini Washington DC kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Sheraton akiwa na crew yake ya Wasafi.
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

TOTAL PAGEVIEWS

Popular Posts

  • LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
  • BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
  • THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
  • IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
  • PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
Copyright © LEMUTUZ

Developed by MKCT