Tuesday, December 16, 2014

 Bus Mohammed Trans limepata  ajali mbaya Igunga ambapo watu saba wanadaiwa kupotza maisha maisha.
lilikuwa  likitoka Mwanza kuelekea Morogoro, ambalo kwa mujibu wa shuuda basi hilo limejigonga kwenye shimbo na kupinduka katika eneo lililo kilomita tano kutoka mji wa Igunga.

0 comments:

Post a Comment