Hatimaye Rais wa Jamhuri Mheshimiwa JK amemfukuza rasmi kazi Waziri wa Ardhi Mama Tibaijuka, kwenye mkutano na Wazee wa Mkoa wa Dar Rais amemtaka Waziri ampishe ili ateue mwingine.
MANENO RASMI YA RAIS YA KUMFUKUZA MAMA TIBAIJUKA:-
"- Waziri Tibaijuka tumekaa naye; tumemuuliza fedha zilikuwa za nini... Ameeleza ni za shule...
- Tibaijuka tulishindwa kuelewa sababu ya fedha kuingia kwa jina lake na si la shule, akadai ndo masharti ya mtoaji
- Waziri Tibaijuka alifanya makosa kimaadili; tumemwomba AnnaTibaijuka apumzike tumteue mwingine!
Rais amedai Prof; Muhongo amewekwa Kiporo hadi uchunguzi zaidi utakapo kamilika"

0 comments:
Post a Comment