Posted by Williammalecela.com on Thursday, December 18, 2014
Mwimbaji maarufu wa nyimbo za InJili, Flora Mbasha, amekimbilia mahakama
ya hakimu mkazi kisutu, akiomba kuvunja ndoa kati yake na mumewe,
Emmanuel Mbasha.
Flora anadai sababu za kuomba kuvunja ndoa hiyo apewe
talaka ni kutokana na tabia ya mumewe kumpiga, kumnyanyasa na kushindwa
kumpatia matibabu.
0 comments:
Post a Comment