Posted by Williammalecela.com on Tuesday, December 23, 2014
 |
| Baadhi ya Wafanyakazi wa Wizara ya Ardhi walio ongea na this Blog jioni hii wamethitisha habari kwamba wanajiandaa kufanya sherehe kubwa sana ya kufurahia kuondolewa kwa Waziri wao wa Ardhi Mama Anna Tibaijuka leo na Rais JK. Wafanyakazi hao wamedai kwamba Waziri huyo wa zamani alikuwa mnyanyasi na wanadaia katika kipin di chake Uwaziri wake amekusanya sio chini ya Shillingi Billioni 20 ambazo anazo benki sasa hivi kwenye account yake. Wafanyakazi hao wameshangilia sana kuondolewa kwake wakidai alikuwa sio Kiongozi safi kama alivyokuwa akijinadi sana kwenye public, wafanyakazi hao wange wao wamesema wamekauka sauti kutoka na kushangilia sana toka waliposikia kauli ya Rais. |
0 comments:
Post a Comment