LEMUTUZ

Thursday, December 18, 2014

DIAMOND PLATINUMZ AFUNGUKA MAZITO KUHUSU WEMA, JOKATE, PENNY!

Posted by Williammalecela.com on Thursday, December 18, 2014
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' akiwa katika pozi.
KWA mara ya kwanza supastaa ndani na nje ya Bongo kutoka muziki wa Kizazi Kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amewafungukia waliowahi kuwa wapenzi wake, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’, Wema Sepetu ‘Madam’ na Penniel Mungilwa ‘Penny’ kuwa waligoma kumzalia mtoto. 
LIVE CHUMBA CHA HABARIAkizungumza na Kipindi cha Live Chumba cha Habari kinachorushwa na runinga hiyo kilichofanyika kwenye ofisi za gazeti hili, Bamaga-Mwenge jijini Dar, Jumanne wiki hii, Diamond alisema hayo alipoulizwa na waandishi wetu kwamba amekuwa akitangaza kupenda watoto lakini kwa nini hana hata wa dawa licha ya kuwa na uhusiano na wanawake tofoutitofauti. Diamond: “Ni kweli napenda watoto lakini siwezi kupata mtoto peke yangu bila mwenzangu. Lazima kuwe na mwenzangu ambaye tutakubaliana.“Nilichojifunza ni kwamba wenzangu hawakuwa real (hawakumaanisha) hivyo wakawa wanachengachenga.” 
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

TOTAL PAGEVIEWS

Popular Posts

  • LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
  • BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
  • THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
  • IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
  • PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
Copyright © LEMUTUZ

Developed by MKCT