Wasanii wa Nigeria wameendelea kumgeukia Diamond Platnumz kwa udi na uvumba kwaajili ya kumshirikisha kwenye single zao mbalimbali.Baada ya kushirikishwa na Kcee,Waje,Dr Sid.Good news ni kwamba wasanii wa kundi la Bracket kutokea Nigeria nao wamemshirikisha kwenye wimbo wao mpya.
Desemba 1 Diamond aliungana na kundi hilo Afrika Kusini kufanya maandalizi ya utengenezaji wa video mpya ya single aliyoshirikishwa.Director aliyehusika kwenye utengenezaji wa video hiyo ni God Father ambae amefanya video nyingi kubwa za Afrika zikiwemo za P Square, Davido, Diamond,Shetta na wengine.
(Picha zote kwa hisani ya millardayo)
0 comments:
Post a Comment