Mtangazaji wa Redio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ akipozi.
MTANGAZAJI wa Redio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ amesema siku
zote anapokuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi akigundua mtu wake ana
‘date’ na mwanamke mwingine, kamwe hatathubutu kugombea bwana ila
atanawa mikono
Akibonga na paparazi wetu hivi karibuni Dida alisema, hakuna kitu
ambacho kwake anaona ni cha kipuuzi kama kugombea penzi, kwa kuwa mtu
anapokusaliti ni wazi upendo wake umehamia kwa mtu mwingine hivyo hawezi
kujing’ang’aniza. INAENDELEA>>
0 comments:
Post a Comment