Monday, December 8, 2014

Kipi ungependa Kutoka Kwangu,kabla mwaka 2014 haujaisha?
1=Moyo wangu

2=Tabasamu langu

3=Pendo langu

4=Hadithi nzuri

5=Urafiki wa dhati

6=Muungano na mimi

7=Msamaha

8=Mahusiano

9=Kuchat sana


10=Muda wangu

11=Kwenda kuburudika sehemu na mimi

12=Kuja kunitembelea

13= Kushirikishana maisha na mimi

14=Ushauri

15=Kukupenda

0 comments:

Post a Comment