U Heard ya leo Desemba 08 inahusu story zilizoenea mitandaoni kwamba mafundi waliokuwa wanafanya ujenzi kwenye nyumba ya Wema na likatokea tukio la kupotea simu ambapo inasemekana wakawaita mabaunsa na kuwabana mafundi hao wakiwatuhumu kuiba simu hiyo.
Baada ya Gossip Cop kumtafuta msanii Mirror ambaye anafanya kazi na Wemaamekataa kwamba hajui chochote kwa kuwa siku ambayo inasemekana tukio hilo lililotea hakuwepo nyumbani kwa Wema.


0 comments:
Post a Comment