Morning Guys picha ni at SELE BONGE Chips & Chicken Kinondoni B...now guys for sure Wabongo tuna tatizo moja kubwa sana la Vijana KUTOJIAMINI KABISA huwa ninajiuliza sana what went wrong na where, How and when in our Society?..I mean Clinton na Tony Blair symbolically ni representatiives wa Change kwa mara ya kwanza Mataifa hayo makubwa Duniani yaliamua kuachana na zamani na kwenda na wakati yaani Viongozi Vijana ambao wapo karibu sana na the new Generation ya dotcom Clinton na Blair wote walikuwa at their 40s now the big picture is wao KUJIAMINI ikiwa na maana walikuwa wanawawakilisha Generation inayojiamini What went wrong with us?..I mean ukitaka kujionea wananchi wasiojiamini pitia Instagram zetu Wabongo aibu ni matusi au Kijana mzima mwenye elimu mpaka Chuo Kikuu hawezi kuandika mistari Miwili tu kama yeye bila kujipa uwakilishi ambao hajawahi kupewa au kuchaguliwa utamsikia "Tumechoka" "Tunataka" maana yake ni moja HUJIAMINI na maneno yako wewe ni sawa na Pwanya Road lazima wawe wengi na ndio Sheria ya binadam mjinga huwa hawezi kusimama peke yake mpaka awe na.wajinga wengine wengi ndio utamuona anajitutumua mazafantazzz ni simply mjinga ukiona mtu anatukana ujue hajiamini ..ndio maana tutaendelea kuongozwa na Wazee wa zamani tusiofanana nao I mean tizama Kenya tu Uhuru Kenyatta amechaguliwa akiwa Kijana alianza kugombea akiwa mdogo...tizama wagombea wetu wa Urais sio your generation ni kwa sababu tuna tatizo la KUJIAMINI mtu unayejiamini unatakiwa kujiongelea mwenyewe sio kutumia majina ya ambao hawajakutuma na wala hawahusiki na tatizo lako mtu anamtongoza mbebezz anaanza ohhh unajua huwa nakuona sana na Le Mutuz hahahaha man mimi nahusika vipi sema your gademu problem mbebezz mwenye akili kubwa hapo hapo anatakiwa kukudharau cause HUJIAMINI mtu anaomba kuongezwa Mshahara kazini anasema mbona fulani nimesikia mnamlipa pesa nyingi Ohh My God kama mimi ni Boss nakufukuza cause ni Mburulazzz.KUJIAMINI kunaanza na wazazi swali ni je kilitokea nini at this Society mpaka tuka create Taifa la Vijana wasiojiamini? TUBADILIKE NOW JIAMINI GUYS! JAMANI ASUBUHI NJEMA! - le MutuzSaturday, December 20, 2014
Morning Guys picha ni at SELE BONGE Chips & Chicken Kinondoni B...now guys for sure Wabongo tuna tatizo moja kubwa sana la Vijana KUTOJIAMINI KABISA huwa ninajiuliza sana what went wrong na where, How and when in our Society?..I mean Clinton na Tony Blair symbolically ni representatiives wa Change kwa mara ya kwanza Mataifa hayo makubwa Duniani yaliamua kuachana na zamani na kwenda na wakati yaani Viongozi Vijana ambao wapo karibu sana na the new Generation ya dotcom Clinton na Blair wote walikuwa at their 40s now the big picture is wao KUJIAMINI ikiwa na maana walikuwa wanawawakilisha Generation inayojiamini What went wrong with us?..I mean ukitaka kujionea wananchi wasiojiamini pitia Instagram zetu Wabongo aibu ni matusi au Kijana mzima mwenye elimu mpaka Chuo Kikuu hawezi kuandika mistari Miwili tu kama yeye bila kujipa uwakilishi ambao hajawahi kupewa au kuchaguliwa utamsikia "Tumechoka" "Tunataka" maana yake ni moja HUJIAMINI na maneno yako wewe ni sawa na Pwanya Road lazima wawe wengi na ndio Sheria ya binadam mjinga huwa hawezi kusimama peke yake mpaka awe na.wajinga wengine wengi ndio utamuona anajitutumua mazafantazzz ni simply mjinga ukiona mtu anatukana ujue hajiamini ..ndio maana tutaendelea kuongozwa na Wazee wa zamani tusiofanana nao I mean tizama Kenya tu Uhuru Kenyatta amechaguliwa akiwa Kijana alianza kugombea akiwa mdogo...tizama wagombea wetu wa Urais sio your generation ni kwa sababu tuna tatizo la KUJIAMINI mtu unayejiamini unatakiwa kujiongelea mwenyewe sio kutumia majina ya ambao hawajakutuma na wala hawahusiki na tatizo lako mtu anamtongoza mbebezz anaanza ohhh unajua huwa nakuona sana na Le Mutuz hahahaha man mimi nahusika vipi sema your gademu problem mbebezz mwenye akili kubwa hapo hapo anatakiwa kukudharau cause HUJIAMINI mtu anaomba kuongezwa Mshahara kazini anasema mbona fulani nimesikia mnamlipa pesa nyingi Ohh My God kama mimi ni Boss nakufukuza cause ni Mburulazzz.KUJIAMINI kunaanza na wazazi swali ni je kilitokea nini at this Society mpaka tuka create Taifa la Vijana wasiojiamini? TUBADILIKE NOW JIAMINI GUYS! JAMANI ASUBUHI NJEMA! - le Mutuz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment