LEMUTUZ

Tuesday, December 2, 2014

MAJONZI! MMILIKI WA MATTEI LODGE AFA AJALINI DODOMA!

Posted by Williammalecela.com on Tuesday, December 02, 2014
Gari alilokuwemo Mattei likiwa limeharibika vibaya baada ya ajali.

Wananchi wakiwa eneo la tukio.

Mmiliki wa Mattei Lodge enzi za uhai wake.MMILIKI wa Mattei Lodge iliyopo Area D mkoani Dodoma aliyefahamika kwa jina moja tu la Mattei amefariki dunia katika ajali ya gari jana Jumapili eneo la Pandembili, Kongwa. 
Chanzo cha ajali hiyo inadaiwa kuwa mwendo kasi uliopelekea gari hilo kuligonga gari lingine na kisha kupinduka. 
Marehemu Mattei alikuwa na wenzake watatu katika gari ambao walijeruhiwa.
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

TOTAL PAGEVIEWS

Popular Posts

  • LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
  • BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
  • THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
  • IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
  • PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
Copyright © LEMUTUZ

Developed by MKCT