Tuesday, December 23, 2014

"Nikitoa Mapendekezo juu ya nini kifanyike kuweza kupunguza tatizo la Ajira kwa vijana. Ukosefu wa ajira unasababisha ukosefu wa Chanzo cha kuingiza fedha,kijana kuwa na muda bila kufanya lolote na matokeo yake vijana kuanza kujihusisha na matukio hatarishi,kama wizi,watoto wa kike kujiuza,kupata mimba za utotoni,kupata magonjwa,kukimbilia kutoa mimba matokeo yake huweza kupoteza maisha,madawa ya kulevya nk."
Like · ·

0 comments:

Post a Comment