Sunday, December 7, 2014
MAKOSA YA DIAMOND PLATINUMZ NA DEMU WAKE ZARI
Posted by Williammalecela.com on Sunday, December 07, 2014
JAMANI KOSA LA DIAMOND NA ZARI LIPI? MPAKA SASA HAWAJASEMA HADHARAN KWAMBA NI WAPENZI WAKO KWENYE "PROJECT" NA HATA KAMA NI WAPENZI KWELI SIONI SHIDA YOYOTE. DIAMOND NILIWAHI KUSEMA BADO NI KIJANA MDOGO AMBAYE BADO HAJAWEZA KUSTAHIMILI MASUALA YAKE BINAFSI HASA MAHUSIANO.
Pili kuna watu tuliwahi kulalamika kwamba wema akiwa na diamond mambo yake yanalala...ameachana naye mambo yake yanasonga sasa mbona mnalalamika tena na kutengeneza mabifu yasiyokuwa na kichwa wala miguu...mpaka watoto wa zari kudhalilishwa na mumewe why...si waliachana? Na dai kaachana na wema? Tuwaache waendeleze "projects"
zao!! Tatu...tusijekuitana wachawi hayo mambo ya wema na daimond wanajuana wenyewe ukute bado wanaendelea ila si mnajua kuna wasanii wengine bila scandal hawawi juu? Hawa watu tuwasapoti kila mmoja kwa masuala yake ya sanaa ila mapenzi yao..watujua wenyewe, na kama Mungu kawapangia watakuwa pamoja. Kama hapana kila mmoja atapata mwenzi wake Mungu aliyempangia
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Newer Post
Older Post
Home
0 comments:
Post a Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
TOTAL PAGEVIEWS
Popular Posts
LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
0 comments:
Post a Comment