LEMUTUZ

Sunday, December 7, 2014

MAMA KANUMBA! AFUNGUKA KUHUSU SKENDO HII KUWA NDIYO ILIYOMSONONESHA ZAIDI!

Posted by Williammalecela.com on Sunday, December 07, 2014
Mama wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amefunguka kuwa hakuna skendo ambayo ilimsononesha kama ile ya mwanaye huyo kuambiwa hajui Kiingereza.
Mama wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa. Mama Kanumba alifunguka hayo juzikati katika mahojiano maalum na Mwandishi Wetu: “Eti Kanumba hajui Kiingereza, hili lilinishtua sana nikalipinga kwa nguvu zote sababu najua mwanangu hata shule alikuwa kichwa,” alisema mama Kanumba. 

Skendo ya kudaiwa kutozungumza Kiingereza kibovu iliibuka mwaka 2009 katika Jumba la Big Brother Afrika Kusini wakati Kanumba alipoalikwa kutembelea mjengo huo.
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

TOTAL PAGEVIEWS

Popular Posts

  • LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
  • BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
  • THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
  • IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
  • PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
Copyright © LEMUTUZ

Developed by MKCT