Thursday, December 4, 2014
MAMA LULU AANGUKIA KWA MZEE WA UPAKO!
Posted by Williammalecela.com on Thursday, December 04, 2014
Mama wa staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila.
Mama wa staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila ameangukia katika Kanisa la Maombezi (GRC) Ubungo-Kibangu jijini Dar, linaloongozwa na Lusekelo Anthony ‘Mzee wa Upako.’
Chanzo kinasema kuwa mama huyo ameamua kujikita katika maombezi na kwamba hufika kanisani hapo kila siku ya Alhamisi kwa maombezi na siku ya Jumapili kwa ajili ya ibada.
“Ni kweli kila Alhamisi mama yake Lulu huonekana hapa kanisani ambapo hupatiwa huduma ya maombezi kutoka kwa Mzee wa Upako,”
kilisema chanzo.Amani lilifanikiwa kumpata mama Lulu na kumuuliza kama kweli anaabudu katika kanisa hilo ambapo alifunguka;
“Ndiyo nimeamua kumrudia Mungu baada ya kuona watu wanaendelea kutenda dhambi kila siku bila kujali kama mwisho wa dunia upo. Natumia muda mwingi katika kanisa hilo kwa maombezi.”
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Newer Post
Older Post
Home
0 comments:
Post a Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
TOTAL PAGEVIEWS
Popular Posts
LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
0 comments:
Post a Comment