Posted by Williammalecela.com on Tuesday, December 23, 2014
 |
| "Waziri wa ardhi, tumekaa nae na kuzungumza. Pesa hizi ni za nini na kwa
ajili gani na amesema ni za shule, mengi yameelezwa. Maswali makubwa
kwa nini hazijaenda shuleni moja kwa moja na zikawa kwa jina lake,
akasema ndo masharti ya mtoaji, tumelitafakari sana na tumeona msingi
mkubwa wa kimaadili kuhusu kupokea hizi pesa,tumeshazungumza nae na
tumemwambia atupe nafasi tumteue mwingine." - JK |
0 comments:
Post a Comment