Friday, December 5, 2014
MAREHEMU ELIAS ANTHONY MAPUNDA AZIKWA MAKABURI YA KINONDONI
Posted by Williammalecela.com on Friday, December 05, 2014
Kaka wa Marehemu Elias Anthony Mapunda Bw. Nesto Mapunda wa pili kutoka kulia na Mkewe Teddy Mapunda
wakiwa
wamesimama mbele ya jeneza la marehemu Anthony tayari kwa kiungia katika kanisa katoliki la Mtakatifu Matha Mikocheni kwa ajili ya misa maalum ya mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kinondoni jana Fullshangwe inampa pole Ndugu Nesto Mapunda pamoja na ndugu na jamaa kwa kuondokewa na ndugu yao mpendwa marehemu Elias Anthony Mapunda. Wao walimpenda lakini mungu amempenda zaidi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi AMEN.
Mwili wa narehemu Elias Anthony ukiombewa kabla ya kuingizwa kanisani.
Kaka wa Marehemu Elias Anthony Mapunda Bw. Nesto Mapunda wa pili kutoka kulia na Mkewe Teddy Mapunda
pamoja na waombolezaji wengine wakiombea mwili wa marehemu.
Mwili wa marehemu Elias Anthony ukiingizwa kanisani
Kaka wa Marehemu Elias Anthony Mapunda Bw. Nesto Mapunda wa pili kutoka kulia na Mkewe Teddy Mapunda
wakiongoza waombolezaji kuingia kanisani.
Waombolezaji wakiwa kanisani
Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB Bi. Devotha Mdachi, Meneja masoko wa Bodi hiyo Geofrey Meena wakishiriki katika misa ya mazishi katika kanisa katoliki Mikocheni
Baadhi ya maofisa wa
bodi ya utalii
wakiwa katika misa hiyo
Msafara uliobeba mwili wa marehemu Elias Mapunda akiwasili katika eneo la makaburi ya Kionondozi tayari kwa mazishi
Msafara uliobeba mwili wa marehemu Elias Mapunda akiwasili katika eneo la makaburi ya Kionondozi tayari kwa mazishi
Teddy Mapunda
akiwa na mama mkwe wake kushoto mama Agness Marangu tayari kwa kushiriki mazishi ya marehemu Elias Anthony Mapunda katika makaburi ya Kinondoni jana.
Waomboleza wakibeba jeneza la mwili wa marehemu Elias Tayari kwa mazishi.
Waombolezaji wakiwa makaburini
Teddy Mapunda
na waombolezaji wengine ndugu jamaa na marafiki wakiweka mchanga kaburini
Nesto Mapunda kaka wa Marehemu Elias Mapunda akiweka mchanga kaburini wakati wa mazishi ya marehemu Elias.
Waombolezaji wakiwa na huzuni kubwa wakati wa mazishi ya Marehemu Elias Anthony Mapunda yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kinondoni jana.
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Newer Post
Older Post
Home
0 comments:
Post a Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
TOTAL PAGEVIEWS
Popular Posts
LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
0 comments:
Post a Comment