Sunday, December 7, 2014
MASKINI WASTARA WA BONGO MUVI: INASIKITISHA SANA!
Posted by Williammalecela.com on Sunday, December 07, 2014
Muigizaji wa kike wa Filamu hapa nchini, Wastara Sajuki amesikitishwa na taarifa za uongo zilizoenea nchini Burundi kuwa alishafariki kwa ajali ya gari. Kupitia ukurasa wake wa matandao wa INSTAGRAM muigizaji huyo ambaye aliondoka hapa nchini juzi kuelekea nchini humo kizazi. Mbali na kuonekana mwenye furaha kwa picha alizoziweka kwenye ukurasa huo akiwa sehemu za ufukweni (Baadhi ya picha kama unavyoziona hapo chini), Wastara alikutana na mashabiki wake na taarifa za kuwa walidhani amekisha fariki ndipo alipozipata.
Hiki ndicho alichokiandika:
Hii imeniskitisha saana baada ya kukutana na mshabiki.wangu.na kusema taharifa walizonazo burundi nilishafariki kitambo kwa ajali.shughuli ilikuwepo nilionekana kma nimefufukia.burundi daah aliyezusha hivyo.naimani nitamzika yeye kabla yangu kigupi sijafa.maahabiki wangu.wa burundi.niko.hai.naendelea.kutumikia taifa.langu.nanyi.pia.Mungu ni.mwema.bado.ananipa.pumzi–Wastara
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Newer Post
Older Post
Home
0 comments:
Post a Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
TOTAL PAGEVIEWS
Popular Posts
LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
0 comments:
Post a Comment