Posted by Williammalecela.com on Saturday, December 27, 2014
 |
"Hii
ni nyumba ya Rafiki yangu Litaka Jr maeneo ya Kigambon imevunjwa leo
asubuhi katika mazingira ya kutatanisha ki ukweli inauma sana nyumba
ikiwa na umiliki halali wa aridh na pamoja na yote kuna kesi ya msingi
ipo mahakaman
ambayo hata kesi haijaisha ghafla leo askari polisi na
mgambo inasemekana ni wa manespaa ya temeke kwa kutumia greda wameibomoa
nyumba yote na kuifanya familia isijue la kufanya hakika nchi hii sasa
imefika pabaya ambapo serikali kwa makusudi ina wadhulum wananchi wake
Mungu ibarike Tanzania"
|
0 comments:
Post a Comment