LEMUTUZ

Thursday, December 18, 2014

MIMBA YA AUNT EZEKIEL IMEZUA BALAA!

Posted by Williammalecela.com on Thursday, December 18, 2014
SIKU chache baada ya kuripotiwa kuwa mjamzito, mimba ya mwigizaji Aunt Ezekiel imezua balaa baada ya mwanamke anayedaiwa kuibiwa bwana na mwigizaji huyo anayefahamika kwa jina la Mwengi kuibuka na kufunguka mazito.
Aunt Ezekiel akiwa na Mose Iyobo ‘Moze’. Mwengi ambaye yupo ndani ya bifu zito na mwigizaji huyo, alizaa na dansa wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Mose Iyobo ‘Moze’ ambaye sasa inasemekana amekolezwa vilivyo na penzi la Aunt. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, siku chache zilizopita Mwengi alikuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa ambapo alitupia picha kibao zikimuonesha akilishana keki na Moze kuashiria kwamba wana mahaba niue huku akisindikiza na ujumbe huo wa kumtisha Aunt.
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

TOTAL PAGEVIEWS

Popular Posts

  • LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
  • BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
  • THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
  • IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
  • PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
Copyright © LEMUTUZ

Developed by MKCT