
Miss Tanzania namba 3 (2014), Dorice Mollel.
MISS Tanzania namba 3 (2014), Dorice Mollel, amesema mashindano ya u-miss ni ‘stress’ tupu hivyo kama mrembo anataka kuingia ni lazima kujidhatiti na kukubali changamoto nyingi.
Akizungumza na mwandishi wetu, Dorice alisema kuwa siku zote mrembo anapoingia kwenye
“Asikwambie mtu kabisa kwenye mashindano ya u-miss ni stress tupu jamani kuanzia unaanza kujifunza hadi pale anapotangazwa mshindi halafu wewe ukakosa taji, inauma sana,” alisema Dorice.
0 comments:
Post a Comment