Monday, December 29, 2014

"Kila jamii na desturi zake,tukio hili lilikuwa Juni 21,2014 katika kijiji cha Sanya Stesheni nilipokuwa na kundi la Wamarekani,kama ilivyo desturi yetu ya ukarimu,walizawadiwa ndafu,
mstuko mkubwa uliwapata katika kuona kwa mara ya kwanza aina hiyo ya mbuzi na nililazimika kuwapa ufafanuzi wa hiyo zawadi ya mbuzi aliyehokwa kwa ufundi mkubwa wa utaalamu wa asili"

0 comments:

Post a Comment