Wiki chache zilizopita mwanamitindo wa kimataifa Kim Kardashian alivalia gauni la aina yake linalojulikana kama Atsuko Kudo katika uzinduzi wa perfume yake mpya.
Baada ya kutokea kwenye red Kapeti akiwa na kivazi hicho kilichovutia wengi, mwanamitindo kutoka Tanzania Millen Magese naye alivalia vazi linalofanana na hilo katika shoo ya mitindo ijulikanayo kama Victoria Secrets iliyofanyika jijini London, Uingereza.
Gauni hilo lililokua na mwonekano mzuri lilionekana kumvutia mw anadada huyo likiwa limeishia magotini na lilikua na mpasua nyuma wa kumfanya aweze kutembea vizuri.Gauni la mwanadada huyo ambaye lilitengenezwa na disgner wake lilikua maalum kwa ajili ya uzinduzi wa perfume yake mpya ya Fleur Fatale Fragrance katika uzinduzi uliofamyika katika jiji la Melbourne Australia.
Kwa upande wa Millen Mageseambaye alionekana kuvutiwa na vazi hilo naye alivalia vazi linalofanana na ilo sambamba na koti kubwa jeusi.



0 comments:
Post a Comment