Monday, December 29, 2014


Binti aliyebakwa na baba yake. Pata kusikia kisa cha binti wa darasa la sita huko Shinyanga aliyeingiliwa kimwili kwa lazima na baba yake kwa miaka mitatu kwa vitisho vikali vya kumchinja endapo atasema.
Binti huyo hivi sasa ana mimba ya baba yake. Unamzungumziaje huyu baba?

0 comments:

Post a Comment