“Majina yao ni makubwa sana lakini useriousness kwenye filamu ni mdogo sana,” JB ameiambia Bongo5.
JB akiwa location kushoot video yake ijayo, Mzee Swagga
Kwa majina yao makubwa, tungeshirikiana nao kwa ukubwa ule na wakawa
serious, film industry ingekuwa mbali sana kuliko hapa tulipo. Mimi
nawaasa tu, wana kipaji kikubwa, wawe serious na waweke akili yao kwenye
kazi hii na watafanikiwa.” JB aliongeza kuwa wasanii hao wengi wao wanapendwa hivyo kazi yao ni rahisi zaidi kama watajituma na kupenda kazi yao iliyowapa majina.

0 comments:
Post a Comment