![]() |
"Ahsante Mheshimiwa Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Dr Fenella Mukangara kwa kuukubali uwezo wangu,kuniamini na kuniteua kuwa Mjumbe wa Baraza la Michezo la Taifa.Guys sasa ni rasmi kabisa kuwa mimi ni Kiongozi wa Chama na Serikali.Ni imani yangu kuwa tutapata ushirikiano toka Vyama vyote vya Michezo hasa ktk mchezo niupendao sana wa Boxing.Alhamdulillah"

MWENYEKITI WA
0 comments:
Post a Comment