“Baada ya hapo, hatupata taarifa tena lakini mimi niliamua kuja Dar kwa ajili ya kumtafuta Rose. Nilikwenda Msimbazi, nilipofika nikaambiwa Rose alichukuliwa na kituo cha kulea watoto kilichopo Kurasini. Ilibidi niende Kurasini, kufika nikaambiwa alichukuliwa na msamaria mwema kwa ajili ya kumlea kama mtoto wake.>>
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment