Tuesday, December 9, 2014
NDOA YA FEZA KESSY YAYEYUKA BAADAYA KUSUBIRIWA KWA HAU KUBWA
Posted by Williammalecela.com on Tuesday, December 09, 2014
Staa wa Bongo Fleva aliyeiwakilisha Bongo kwenye Shindano la Big Brother Africa 2013 ‘The Chase’, Feza Kessy.
Mpenzi msomaji tunasikitika kukujuza kwamba ile ndoa iliyosubiriwa kwa hamu kubwa imeyeyuka baada ya uchumba wa staa wa Bongo Fleva aliyeiwakilisha Bongo kwenye Shindano la Big Brother Africa 2013 ‘The Chase’, Feza Kessy na jamaa kutoka Botswana, Oneal umeanguka chali.
Habari za uhakika zinadai kwamba mwanadada huyo ndiye aliyeamua kukata mzizi wa fitina na kuachana na mwanaume huyo ambaye alitimba Bongo kumchumbia baada kuona hana mipango ya maisha ya baadaye huku jamaa akiwa bize na maisha yake na mwanaye mwenye umri wa miaka nane.
Feza Kessy akipozi.
Akizungumzia ishu hiyo, Feza alisema: “Mimi ndiye niliyemuacha. Nilitangaza kupitia Twitter (mtandao) lakini ujumbe umefika. Ni kweli tumeachana lakini siwezi kuzungumza in details (kiundani). Vitu vingine vitafunguka baadaye.
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Newer Post
Older Post
Home
0 comments:
Post a Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
TOTAL PAGEVIEWS
Popular Posts
LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
0 comments:
Post a Comment